Advertisements

Saturday, December 27, 2014

LOWASA AMTEMBELEA ALI AMEIR MOHAMMED, ZANZIBAR

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa (kushoto) akimsikiliza aliyewahi kuwa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ali Ameir Mohammed, alipomtembelea nyumbani kwake, Kichaviani, jimbo la Dongo, viasiwani Zanzibar leo Jumamosi Desemba 27, 2014. Lowasa yuko Zanzibar kwa mapumziko ya Krismas na Mwaka mpya.
Lowasa, akikaribishwa na Ali Ameir

No comments: