Advertisements

Wednesday, December 24, 2014

MCHONGO WA KAZI DMV


Dicky Smalls Automotive inatafuta mfanyakazi wa usafi  atakayekuwa anaweza kufanyakazi kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 10 jioni mshahara ni $8 kwa saa.

Kigezo awe Mtanzania anayeishi maeneo ya DMV, kama utakua umevutiwa na hii kazi tafadhali wasiliana Dick Small simu namba 202 374 9094, 240 200 7950 au unaweza fika mwenyewe anuani
10111 B Bacon Drive, 
Beltsville, MD 20705 

Na kwa maelezo zaidi na kutembelea tovuti ya Dicky Smalls Automotive Bofya Hapa

1 comment:

Anonymous said...

Saa 2 hadi 10 6 days a week........!!!! Mmhh!!! I think 5 days is fair,unapompa mtu kazi ni vizuri ku consider fair hours.....eg mtu anasoma,ana familia ukimbana sana akakosa muda wa mambo yake muhimu atakukimbia mapema......