Advertisements

Monday, December 22, 2014

MH. PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO QATAR

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda wakizungumza na Mchezaji Mwinyi Kazimoto ambaye ni Mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Al Markhiaya nchini Qatar, katika mkutano kati yake na watanzania waishio nchini humo uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 21, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda (kushoto kwake) wakizungumza na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania waishio nchini Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watanzania waishio nchini Qatar baada ya kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Ujumbe wa Waziri Mkuu ulioongozana nae huko Qatar

No comments: