Advertisements

Sunday, December 14, 2014

MTANZANIA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA

Mtanzania Joyce Rwehumbiza anayeishi Maryland nchini Marekani siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 alisherehekea siku yake ya kuzliwa ya kufikisha miaka 40 kwa kutangaza utalii wa Tanzania huku akichangisha fedha kwa bahati nasibu ya kuuza tiketi kwa lengo la kusaidia Tanzania na huku akionyesha video za uzuri wa mbuga zetu ikiwemo Zanzibar.
Vitu mbalimbali viliuzwa kwa lengo la kutoa msaada kwa wasiojiweza Tanzania.
Joyce Rwehumbiza akiongea machache na kutoa shukurani kwa wahudhuriaji kwenye siku yake ya kuzaliwa ya kufikisha miaka 40 iliyofanyika Rockville, Maryland nchini Marekani.
Joyce Rwehumbiza na mumewe wakipata chakula cha jioni.
Joyce Rwehumbiza akikata keki yake ya miaka 40 na mumwewe.
Joyce akimlisha keki baba mwenye nyumba wake.
Joyce akilishwa keki na mumewe.
Joyce na baba mwenye nyumba wake wakichum
Jamaa na marafiki wakiimba wimbo wa siku ya kuzaliwa.
Mmoja ya wageni akitia saini kwenye picha ya Joyce na kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi



1 comment:

Anonymous said...

No matter what folks say about you, aunt Tina Magembe una jicho.