
Dj Seif akifanya vitu vyake kwenye sherehe ya Uhuru wa Tanzania iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 6, 2014 Sheraton ya Silver Spring, Maryland mchini Marekani.

Watanzania wakijumuika pamoja kwenye sherehe ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Watanzania wakiwa kwenye sherehe ya Uhuru wa miaka 53 Sheraton hotel ya Silver Spring, Maryland.

Nyamy katika picha.

Taji na mama mwenye nyumba wake.

Aziz na mdhamini wa pendo lake.

Rich akiwa na barafu ya moyo wake.
Picha zote na Ayoce Mbullu mwakilishi wa Vijimambo Maryland
kwa picha zaidi bofya soma zaidi















































1 comment:
Diva baby ur gorgeous u killed: CL
Post a Comment