ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 10, 2014

PITA PITA YA VIJIMAMBO NACHINGWEA MKOANI LINDI

NY Ebra akipiga soga na Bibi wa Binti yake alipoenda kumtembelea huko Nachingwea Mkoani Lindi.
Fauzia binti wa NY Ebra akiwa na mama yake mzazi huko Nachingwea, Lindi.

Fauzia binti wa NY Ebra akipiga mastori na mama yake mzazi alipoenda kumtembelea huko Nachingwea mkoani Lindi.

3 comments:

Anonymous said...

simply organic...

Anonymous said...

Fanya fanya umlete huyo mwanao baba mkwe na taratibu zingine zifuateπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Mdau wa peponi

Anonymous said...

fresh sana mpaka umefika matokomeyani huko na mama watoto wako mbona kachoka hivi NY? Umekwenda kutafuta miti shamba?
tunaku miss bro Huku NY