NY Ebra akipiga soga na Bibi wa Binti yake alipoenda kumtembelea huko Nachingwea Mkoani Lindi.
Fauzia binti wa NY Ebra akiwa na mama yake mzazi huko Nachingwea, Lindi.
Fauzia binti wa NY Ebra akipiga mastori na mama yake mzazi alipoenda kumtembelea huko Nachingwea mkoani Lindi.



3 comments:
simply organic...
Fanya fanya umlete huyo mwanao baba mkwe na taratibu zingine zifuateπππππ
Mdau wa peponi
fresh sana mpaka umefika matokomeyani huko na mama watoto wako mbona kachoka hivi NY? Umekwenda kutafuta miti shamba?
tunaku miss bro Huku NY
Post a Comment