Watu wakiwa tayari wamejipanga kusubiri mkesha wa mwaka mpya 2015 eneo la Times Square New York City, sehemu hii ni maarufu sana kwa New York na Marekani watu kutoka sehemu mbali mbali za dunia ufika New York kushuhudia mwaka mpya kwa style mbali mbali za kukiss adharani na wengine kuvalishana pete za uchumba wakiwa hapa Times Square baada ya kuangushwa mpira mkubwa unaojulikana kama balls drop.
ili ndiyo balls drop lenyewe linalo wavuta watu kutoka sehemu mbalimbali licha ya kuwa na baridi lakini watu uvumilia na kusubiri kuona ball hili kwa masaa zaidi ya 14 kwenye baridi. Ball hili ufungwa juu urefu wa foot zaidi ya 77 na likipasuka umwaga vipande vipande vya karatasi na kufanya kila mtu alie eneo hilo kuangukiwa na kisha kulipuka kwa shwangwe na vigelegele.
Ulinzi ni mkubwa sana hapa Times Square siku ya leo kama unavyoona polisi wakiwa makini
Watu wakiwa busy kupata nafasi ya kukaa na kusubiri mwaka mpya wengine wakipata ukodaki kama unavyoona.
Polisi wakikabizana majukumu ya kikazi kama unavyoona wakiwa wamejikusanya pamoja
4 comments:
Kiswahili hujuwi ulieandika hizi habari za New York
marekani miyayusho nja kali angalia eti watu wanasubiri ball ku drop na baridi kali hivi angalia fireworks za nchi mbali mbali ndo utakuja kujua marekani wameshakusha kiiuchumi wako taabani mgonjwa karibu anakata rohoo.
mlokuwa huko jitahidini mrudi mwakenu au nendeni uchina biashara ya unga to dar.
Sio kila mtu aliyepo..marekani..njaa kali
.watu wana maisha wewe huku. Au unafikiri kila mtu mbeba..box
Sio kila mtu aliyepo..marekani..njaa kali
.watu wana maisha wewe huku. Au unafikiri kila mtu mbeba..box
Post a Comment