ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 13, 2014

SIMBA 2 YANGA 0 NANI MTANI JEMBE

 
Awadh Juma na Jonas Mkude wakishangilia moja ya magoli ya Simba. (Picha ya maktaba).
Mabingwa wa Kombe la Nani Mtani Jembe, Simba SC ya Msimbazi jijini Dar es Salaam wameshawanyanyuka vitini kufuatia bao la kuongozwa lililotumbukizwa kimiani na Mchezaji wake Awadh Juma.

Goli la pili la Simba limeweka wavuna na Elius Maguli na kuifanya Yanga kuzidi kutweta huku Simba wakizidi kuliandama lango la Yanga.


Mchezo huo wa kuania kombe la Nani Mtani Jembe 2014 bado unaendelea Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo hadi sasa Simba 2 Yanga 0.

No comments: