Advertisements

Sunday, December 14, 2014

SOPHIA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWENYE MGAHAWA WA SAPHIRE NEW YORK

Sophia mkazi wa DMV akiwa ndani ya mgahawa wa Saphire uliopo Harlem, Lenox New York siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 aliposherehekea siku yake ya kuzaliwa ndani ya jiji la wasiolala.
Sophia(kulia) akiwa na ndugu zake siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 alipokua jiji la wasiolala kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Sophia akiwa ndani ya mgahawa wa Saphire uliopo Harlem, Lenox New York akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.
 
 Sophia akipata picha ya pamoja na Bahia
Kutoka kushoto ni Issa, Farida, Sohia na Adela wakipata picha ya pamoja
kwa picha zaidi bofya soma zaidi




No comments: