" Karibu na asante kwa kuja kututembelea" Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akimkaribisha Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) katika Ofisi za Tanzania Umoja wa Mataifa.
Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) akisaini kitabu cha wageni Ofisini kwa Mwakilishi wa Kudumu Balozi Tuvako Manongi (kulia). Mhe. Nahodha alikuwa Nchini Marekani kwa ziara ya kikazi
1 comment:
bwana mkubwa katuwa na kutinga ubalozi aaaah.nakukaribisha kwangu mimi dj wa new york
Post a Comment