Advertisements

Tuesday, December 16, 2014

SHEREHE YA UHURU CHICAGO

 Watanzania waliojitokeza kwenye sherehe ya Uhuru miaka 53 siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 wakipata picha ya pamoja na Mhe. Liberata Mulamula Balozi wa Tanzania nchini Marekani ambaye ndiye aliyekua mgeni rasmi kwenye sherehe hizo.
 Mmoja ya Watanzania aliyehudhuria sherehe ya miaka 53 ya Uhuru akipata picha ya kumbukumbu na Mhe. Balozi Mulmula.
 Picha ya pamoja.
 Watanzania wa Chicago wakipata picha ya kumbukumbu na Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
 Wakiwemo Watanzania kutoka Minnesota Afisa Ubalozi Switebert Mkama (kulia) na wengingine toka Chicago wakipata picha ya kumbukumbu na Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
 Picha ya pamoja na Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
 Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Chicago wakipata picha ya pamoja na Mhe. Liberata Mulamula Balozi wa Tanzania nchini Narekani
 Picha ya pamoja na Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
 Mdau akipata picha ya kujipendelea.
Nashona kutoka North Carolina waliwakilisha na kunogesha sherehe ya Uhuru Chicago.

No comments: