They are building our unity as a community and our sense of nationhood. To claim they are wasting time is the highest degree of stupidity. Amongst us we will have imbeciles who would never recognize sacrifices being made by others in forging our unity.
Such ignomurases deserve nothing but to be ignored. Bravo our leaders! Long live our community under your able stewardship.
sasa ungeandika kwa lugha yako ya kuzaliwa ungekosa nini au ndo uonekaa msomi sana kwa kuandika kizungu mijitu minginewe bwana wamekuwa waatumwa wa lugha.
Ngungi wathiongo well know author anandika vitabu kwa lugha ya kikwao kikuyu na kahojiwa na bbc akaambiwa atakosa wateja wa kusoma hivyo vitabu vyake akasema wacha akose but hato badili lugha ya kwao na kama hao waateja wanataka kuvisoma vitabu vyake basi vitatafsiriwa kwa lugha hizo za kwao.
anadhamini sana lugha ya kwao weo leo hii unajifanya msomi kwa kizungu chako.kazi kweli ipooooooooooooo.
5 comments:
mnajitahidi huenda mkawa na nyinyi wabunge au mawaziri.watoto wa ccm lazima wawe ccm
Pongezi sana kiongozi
Hehe nyie have really plenty of time to waste

Post a Comment