ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 11, 2014

Wakuu wa Mkoa wamtembelea na kumjulia hali Rais Kikwete

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa mikoa waliowawakilisha wenzao kwenda ikulu leo kumjulia hali na kumpa pole kufuatia upasuaji alifanyiwa mwezi uliopita nchini Marekani.(picha na Freddy Maro)

1 comment:

Anonymous said...

pesa za escrow zipo wapi habari za bla bla hatuzitaki usiweka comment lucas itakosa mgao wa habari hii ya leo.