Advertisements

Wednesday, December 31, 2014

WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI UNAOTEKELEZWA NA TASAF WACHIMBA MTARO WA MAJI

Baadhi ya walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya maskini katika sheria ya Mpapa mkoa wa Kusini Unguja wakishiriki katika kazi ya uchimbaji wa mtaro wa maji kupitia Mpango wa ajira za muda ambao huwawezesha walengwa kulipwa fedha.
Mtaro wa maji uliochimbwa na walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya maskini katikasheria ya Mpapa wilaya ya Kusini Unguja inayotekelezwa chini ya mpango wa ajira za muda kupitia TASAF.
Mmoja wa walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya maskini wa TASAF katika sheria ya Mpapa wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja akishiriki kazi ya kuchimba mtaro wa maji.

No comments: