Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali la Equality For Growth (EfG), Jane Magigita, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo.
Mgeni rasmi, Leopold Kaswezi (katikati), akizungumza na wahitimu hao. Kulia ni Diwani wa Kata ya Mchikichini, Mhe.Riyani na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali la Equality For Growth (EfG), Jane Magigita.
Muhitimu wa mafunzo hayo, Bakari Yusuph kutoka soko la Feri, akikabidhiwa cheti chake na mgeni rasmi.
Muhitimu wa mafunzo hayo, Batreti Malemula kutoka soko la Feri, akikabidhiwa cheti chake na mgeni rasmi.
Soko la Ilala Boma Consolata
Muhitimu wa mafunzo hayo, Mwalimu Chiku Hamisi kutoka soko la Buguruni, akionesha cheti chake kwa furaha baada ya kukabidhiwa.
Wahitimu wakiwa kwenye hafla hiyo.
Wahitimu wakifuatilia matukio ya ufungaji wa mafunzo yao.
Hapa ni sebene tu kwa kwenda mbele wakifurahia kumaliza mafunzo hayo. 'Mbona wanyanyasaji katika masoko watakoma safari hii, wahitimu 25 sio mchezo ni vizuri wajisalimishe mapema chezea sheria wewe'.
Hapa ni mduara na vyeti ni juu lazima mvione.
Wahitimu ya mafunzo ya usaidizi wa sheria katika masoko ya Manispaa ya Ilala wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi katika hafla ya kufunga mafunzo hayo ya siku 25, Mwanasheria wa Manispaa hiyo , Leopold Kaswezi (aliyevaa suti katikati waliokaa), aliyemwakilisha Mkurugenzi wa Manispaa hiyo na maofisa wa Shirika lisa.ilo la kiserikali la Equality for Growth (EfG), kwenye sherehe zilizofanyika Hoteli ya Lamada Dar es Salaam jana. (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com)
No comments:
Post a Comment