Advertisements

Thursday, December 18, 2014

ZARI AMPOKEA DIAMOND KWA SHANGWE UGANDA JANA

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Uganda jana.
Diamond Platnumz akiwa na Zari the Boss Lady wakiondoka Uwanja wa Ndege wa Uganda.

Diamond Platnumz akiwa na Zari the Boss Lady kwenye pozi.
Diamond Platnumz na Zari wakipigwa picha na wanahabari.
Diamond Platnumz na Zari wakijiandaa kuongea na wanahabari jana.
Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani).

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' ameondoka Tanzania jana mchana na kuelekea Uganda kwaajili ya hafla ya Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady inayoitwa ZariAllWhiteCirocParty inayofanyika Kampala. GPL

4 comments:

Anonymous said...

DUUH!!! DEMU MBONA MIGUU INA MATENDE!!!!

Anonymous said...

MIGUU YA ZARI INAMATENDE AU INAUGONJWA WA KUJAA MAJI. TENA IKIZEEKA INAKUWAGA MIBAYA SANA.

MCHAGUA NAZI HUPATA........

Anonymous said...

WE JAMAA AU BIBI UTAKUWA NA WIVU WA AJABU! MTOTO MZURI NAMNA IYO! UNADAI MIGUU IMEJAA MTOTO ANA MGUU MZURI ALAFU ANAITWA ZARI AUUJUI ZARI MAANA YAKE NINI? DIAMOND CHAPA BRO! TUKIWA ATUNA KITU WANATUMWAGIA VUMBI SANA, CHAPA CHAPA CHAPA!! Mchagua Nazi lazima uchaugu mimi nakukubali sana mchizi! wala ukosei sisi wale wa uswazi! ukipata nafa tumia

JUMA
WASHNTON DC

Anonymous said...

TEAM YA WEMA SEPETU PEKU PEKU IMEKUZIDINI SANA NA USHAMBENGA WENGU NA UJINGA WA KITOTO NDO MLIOTOA COMMENT HAPO JUU.
LOOO HAMNA HATA HAYA.

MTOTO SEXY LADY ZARI LA MENTALI SI KAMA MADAME WENU;HUYU ANAKICHWA KILICHOKWENDA SHULE YA BIASHA YA KUTENGENEZA PESA SI KAMA MADAME WENU.

SHE KNOWS WHAT SHE WANT,SHE IS CLASSING MWISHO WA MAELEZO NA DIAMOND ANAJIPENDEKEZA KIBIASHARA ALIDHANI ATARAMBA PENZI KAULA MKIA WA FISI; BOSS LADY SEXY BABY ZARI ANA MIND KUTENGENEZA PESA PESA.

MWAKA HUU MTAUGUA NA MGANGA HATOKUWEPO KUKUTIBUNI NYINYI NYOTE PAMOJA NA MADAME WENU HAAAAAAAAAAAAAAAA CHEKO LENU MSIO NA HAYAAAAAAAAAAAA WALA KUONA VIBAYA NYIYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

MNAFIKIRI KILA KITU MAPEMZI TU.