ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 25, 2015

Birthday ya Julius Manase yafana Dc.

Bw na Bibi Manase wakipoz katika red carpet ya Birthday ya Manase huko "FOGO DE CHAO" katika jiji la Washington Dc Jumamosi Januari 24 kusheherekea siku ya kuzaliwa. Manase .

Bw. na Bibi Shomari wakiungana na Manase's. Manase na wadau.

3 comments:

Anonymous said...

Sasa Red Carpet Hiko wapi jamani hapo???
HPBDay lakini

Manase said...

Anon no 2 kabla ya kuchunguza wengine anza na wewe binafsi unatakiwa ujiunge na watoto darasa la Kiswahili uweze jua tofauti ya neno Hiko , Lipo na liko.Picha zoote kwako kilichokugusa ni carpet?kweli tumejaliwa kutafuta makosa ya wengine na kukatishana tamaa kweli ni rahisi kumtoa mbongo bongo lakini ngumu kuutoa ubongo ndani ya mbongo.

Anonymous said...

wacheni kumsimanga bwana muwe munaandika vizuri habari zenu si kuchapi chapi.mmesema red carpet na haipo.
so kwa nini msiulizwe leo hii mnamwagia mitusi mwezinu. si ugwana hata kidogo.

kwanza hicho kiswahii mnachowafunza watoto ni Kiswahili fasaha ua cha akina mwakimbalaongabulubukangalungungaa.