ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 25, 2015

DIAMOND THE PLATNUMZ AWARUSHIA BURUNGUTU LA MAMILION MASHABIKI WAKE KWENYE TAMASHA LA TIGO KIBOKO YAO LEADERSCLUB

Chini Diamond akiwamwagia pesa washabiki wenye chuki binafsi baada ya kumrushia chupa punde tu ya jina lake kutatwa iliapande jukwaani. Kuona hivyo alifungua kibuda cha wekundu wa msimbazi na kukimwaga mbele yao na kisha kuanza kuimba baada ya wale wenye fujo kuwa busy na kugombea pesa. Hizo ni nyepesi nyepesi na udambwidambwi wa siku ya show ya tigo kiboko yao iliyoshirikisha wakali kibao wa mziki wa kizazi kipya kwenye viwanja vya leaders kinomdoni.


1 comment:

Anonymous said...

hahahahahaha!

amewaweza sana. watz tuna bahati mbaya sana, vitu vinavyoiletea sifa tz hatuvipendi na wala hatuvioni kama vina umuhimu kwetu. kama vile mbuga za wanyama, mlima kilkimanjaro na diamond platnumz. badala yake tunavishupalia vitu ambavyo haviiletei sifa tz.