ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 25, 2015

MTANZANIA WA MIAKA 74 AHITIMU SHAHADA YA SHERIA CHUO KIKUU HURIA

Lazaro Ole Kipeyan akisaidiwa kwenda kutunukiwa Shahada ya Sheria wakati wa Mahafali ya 27 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) huko Dodoma.
(picha: Sifa Lubai/Daily News)

2 comments:

Anicetus said...

Education is an investment that never depreciate

Anonymous said...

safi sana huyu kama yule babu ya kikenya na wakafanya movie yake ya 1st grade alikuwa mau mau. safi sana na sisi Tanzania tunaye wetu huyu. elimu haina mwisho na inasikitisha kuona vijana wanakaa vijiweni na kupanga madeal na kubwebwa na wana siasa bila ya wao kujishughulikia na elimu.

elimu ndo kila kitu elimu ndo ufunguo wa maisha ya binadamu.

vijana wa siku hizi kazi kunywa viroba na misifa sifa mitandaoni na ngono kwenda mbele hakuna kitu kichwani ,kichwa kitupu ngono ndo mpango mzima. na kusifia makalio ya mademu.

whata a shameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

mungu ambariki sana mzee babu yetu huyu amen amen amen.

ni mfano bora wa kuigwaaaaaaa.