Advertisements

Friday, January 23, 2015

Filamu: Pata Filamu ya Foolish Age kupitia Mtandao.

Katika maisha binadamu ana nyakati tatu, Wakati uliopita, wakati uliopo na wakati ujao. Wakati uliopita na ujao hana mamlaka nao bali wakati uliopo ndio hazina yake ya kujenga mustakabali wake ila kikwazo kikuu ni umri wake. Kuna umri anahitaji matunzo na ulinzi unaitwa utoto na kuna umri anahitaji heshima na matunzo  unaitwa uzee halafu kuna umri unaitwa mtu kamili ila kabla yake upo umri matata unaitwa FOOLISH AGE . Fuatilia hii kupitia mtandao .......

Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania iitwayo Foolish Age au Knunua na iwe yako kupitia mtandao.

Ili kuweza kuangalia au kununua kupitia Mtandao unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti hii


Pia unaweza kuangalia au kununua filamu nyingine kupitia mtandao huo huo

1 comment:

Anonymous said...

Bado sijaelewa, kwanini hizi movie za BONGO zina title ya kiingereza halafu zinaongea Kiswahili. Ingekuwa vizuri kama zingekuwa na jina la Kiswahili maana haina maana kama unachagua movie inayoitwa FOOLISH AGE halafu unakuta imechezwa kwa Kiswahili. Hayo ni mawazo yangu.