BAO pekee la Ramadhani Hamidu dakika ya 20, limeipa ushindi wa 1-0 African Sports ya Tanga dhidi ya Majimaji, Uwanja wa Mkwakwani, mjini hapa katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara. Ushindi huo, unaifanya Sports itimize point 41 baada ya kushuka dimbani mara 19 ikiendelea kujikita kileleni mwa kundi A ya ligi daraja la kwanza. Timu mbili za kila kundi ufanikiwa kuingia VPL kila mwaka. Wanakimanumanu oyeeee kila la kheli katika michezo iliyo bakia.
No comments:
Post a Comment