UKITENGENEZA MAISHA YAKO USIMSAHAU Mama, Daima Usimdharau Mama, mpende Mama na umtunze sana Mama. Mvumilie sana kwa mapungufu yoyote yale utakayoyaona kwake, hayupo alie mkamilifu kwa% Kumbuka MIEZI 9 ulikaa ndani ya tumbo la Mama, MIAKA 2 au zaid ulikunywa kilicho kifuani mwa Mama!. Kitanda chako kilikua miguu yake, Bembea yako ilikua mgongo wake, na mikojo kwa kadri ulivyo jisikia. Alikubali kuumia ili wewe upate kukua, kila siku uamkapo na ulalapo muombee mama.
5 comments:
Vipi baba?
ujumbe huu mzuri sana mawaidha mazuri sana na darsa nzuri sana.mashallah.tutafata hikma zako inshallah na ahsante
new york
nani kama mama hakuna, baba hafiki mfano hata robo wa mama.
Mama ni nani? Ni yule aliyekulea au aliyekuzaa halafu kukutelekeza?
mama ni yule aliyekuzaa na aliyekulea wote ni mama,kukutelekeza si kosa lake muulize huyo baba yako kwanini kakutelekeza.
kazi ya mama kukuzaa na kukulea kama kakuza na hajakulea huyo aliyekulea ni mama lakini hatokuwa na uchungu sana na wewe kama aliyekuzaa.
muulize baba eeeh usisahau kwanini mama kakutelekeza.
na pole sana jamani msamehe kama amekutelekeza but BABA hawezi kuwa mama hata siku mmoja,
mama ndo mlezi mungu ndo akamjalia tabia hiyo na wala usibishe.
mfano nani anajua kutunza nyumba na kuangalia familia zaidi ya mama na unapoumwa na kulia unamuhitaji mama au siyo.
Post a Comment