Advertisements

Wednesday, January 7, 2015

INAUMA SANA KUONA MSANII MWENZETU KIJANA DAZ BABA AKIWA KATIKA KHALI HII MBAYA...TUMSAIDIE JAMANI

Inauma sana kuona kijana mwenzetu yupo katika hali hii...Huyu ni msanii mkubwa na maarufu sana hapa Tz na uhakika kila mtu atakuwa anamkumbua#DazBaba aliyekuwa na mmoja katika kundi la#Daznundaz kama sikosei... Sababu ya kuwa hivi ni#Madawa_ya_kulevya.. Na chanzo kikubwa cha madawa ni baadh ya matajiri kujiingiza katika biashara hii ambayo inatuharibia nguvu kazi ya taifa..#Daz ni kijana mdogo sana na ukimwangalia kwenye pic utadhani mzee...Naamini bado hatujachelewa tunaweza kubadilisha maisha ya kihana mwenzetu kama alivyo @rayc kwa sasa.. .
Toa ushauri wako kuhusiana na vijana wenzetu kuingia kwenye makundi ya utumiaji wa madawa ya kulevya.. Nini chanzo na tufanyaje ili kukomesha janga hili

CREDIT - BOSSNGASA

No comments: