Advertisements

Sunday, January 18, 2015

Iyobo: Hata Kama Aunt Amenizidi Umri

DANSA wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.
Akizungumza na kufunguka hiyo live bila chenga mbele ya mwanahabari wa GPL, Iyobo.
alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt
ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.

“Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa na Aunt. Nategemeaanizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale wanaosema nina mke mwingine, si kweli yule nilizaa naye tu lakini kwa Aunt ndiyo nimefika,” alisema Iyobo ambaye ana umri wa miaka 23

1 comment:

Anonymous said...

Wow! Kumekucha Walahi