ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 18, 2015

KWA WALE TULIEKULIA VIJIJI VYA UJAMAA HIZI NDIYO ZETU

Kwani hata baiskeli kwetu ilikuwa ni shida kuweza kuruhusiwa kuendesha basi tulijiliwaza kupitia humu kiroho safi.

1 comment:

Anonymous said...

watoto nyumbani wako wabunifu sana na very smart jamani mungu akubarikini watoto wetu huku wako mapoyoyo na vivideo game vyao,ipad,labtops etc.
generation ya watoto wa nyumbani ndo wanakuwa vizuri.

mungu awabarikini sana sana kabisa. dj luke ahsante mpwaa kwa kuweka hii picha ime ni touch sana kwa kweli.

cheki baiskeli walizotengeneza kiroho safi ningekuwa mjasiria mali ningewaleta huko waha watoto.