ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 20, 2015

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

6 comments:

Anonymous said...

Jamani tulikumiss hiki kipindi afadhali , Mambo ya Benja Jabiri ,Yasini,

Anonymous said...

Benja bwana ,waache wake zao ,Benja ni mwisho.

Anonymous said...

Tumefurahi kuwaona hawa Vijana ,Mpwa ,safi sana .kijiwe.

Anonymous said...

FRIDGE LIMEJAA BIA TU , HAKUNA FOOD

Anonymous said...

Dj luke mshike Benja huyu .anachangamsha .tuko tayari kuchangia awe kilasiku,

Anonymous said...

benja tutake radhi unataka waume zetu watuache halafu iweje waende?

nadhani unaona choyo hakuna kama wanawake wa kitanzania,mapenzi tunayajua kupika tunajua na kupeti peti tunajua wewe naona unayakosa so unataka na wenzako wayakose.

tutake radhi benja sisi wanawake wakitanzania.

na wacha ubahili wako tumetoka makwetu lazima tuwasidiye watu wakwetu ndo mila na tamaduni zetu sisi si wamarekani weusi.