A.Alaykum, nategemea mnaendelea vizuri katika shughuli zenu za kila siku kwa uwezo wake Allah
Nilikuwa
nawajuulisheni kuwa kutakuwa na kisomo cha kumsomea Ndugu yetu Rashid
Mkakile ambaye ni mgonjwa alikuwa amelazwa Hospital ya Beth Israel
Deaconess Medical Center na sasa hivi yupo kwenye Physical therapy kwa
ajili ya Recovery, lakini bado ni mgonjwa
Tunamuomba Mungu ampe uzima wake na duwa zenu zinahitajika
Tunawaomba kwa kila mwenye uwezo wa kuja kusoma kwa pamoja itakuwa vizuri na kisomo kitafanyika siku ya Jumamosi 1/17/2015 Kuanzia 4:00PM to 7:00PM
Address ya ukumbi ni
10 Putnam St,
RoxburyMA 02119
Zaidi unaweza kuwasiliana na
Salum 617-308-2971
Ikota. 240-988-0359
Nyote mnakaribishwa.
No comments:
Post a Comment