ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, January 3, 2015

KISOMO CHA MAULID YA MTUME (SAW) KILICHOFANYIKA DMV, USA

Dua ikiendelea ikisomwa na Ustadh Ibrahim (alietupa mgongo) baada ya maulidi kumalizika
Kwa umakini na unyenyekevu wakionekana wakiitikia dua ilikuwa ikisomwa na ustadh ( hayupo pichani)
 
Maustadh wakuu wakibadilishana mawazo na kutathimini jinsi gani maulidi yalivyofanikishwa kwa siku ya leo

AKINA DADA

 Loveness ( kushoto) pamoja na waumini wengine bila kujali imani zao walijumuika pamoja katika kisoma cha maulidi, tuwe na mshikamano wa pamoja wana DMV. huu ni mfano mzuri
 picha za chini na juu akina dada na mama zetu wakifuatilia kisomo kinavyoendelea

 WAKATI WA MSOSI

Kama kawaida na desturi yao akina mama, bila wao shughuli haijakamilika, vyakula vya kutosha, vitamu na vyenye kuvutia, tunawapongezeni akina mama kwa mchango wenu mkubwa, Mungu awabariki

 Ni ubavu wako tu, jifue kinoma noma

2 comments:

Anonymous said...

mashallah maulid nabawiyaan, kizazi cha kiislamu nakupeni salaam nyote na rehma za Allah ziwe pamoja na nyinyi na kizazi chenu chote.Allah ma amin.

ndo inavyotakiwa hivi raha iliyope kuwaona waislamu wenzangu popote pale mlipo mkijumuika na kumkumbuka mtume wenu S.A.W.

Na mfute nyayo zake pamoja na kizazi chenu chote katika maisha yenu yote hapa duniani ndo kheir na barka zitakujiyeni.Allah ma Amin.

na ndugu zetu walioungana na sisi wasio katika dini yetu Ahsanteni ahsanteni sana,waislamu wenzangu tushikamane nao hivi hivi na tusiwabaguwe.

furaha iliyoje kuona kizazi cha kiislamu mkiwa pamoja na kujumuika na kumbumbuka mtumwe wene S.A.W.

shukran za dhati ziwaende vijimambo team wote kwa kupiga picha hizi na kutuweka mtandaona na wote walio fanikisha hii shughuli.

kwa kweli wana DMV nyinyi ni mfano bora kwa waislamu watanzania wote waliopo state zote Allah akujaliyeni kila la kheir na waislamu wote popote pale walipo katika ulimwengu huu.

jambo jema sana mmelifanya hili jaza yake yote kwa Allah amin.

salaam kutoka NY.Mount Vernon