ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 28, 2015

MAMA MWENYE MAPACHA SITA AKABIDHIWA NYUMBA


Mwenyekiti wa bodi ya banki ya Covenat Salome Sijaona akimkabidhi funguo bara baada ya uzinduzi wa nyumba aliyokabidhiwa Salome Mhando ambaye alitelekezwa na mume wake baada ya kujifungua watoto hadi kufikai sita na kukosa mahala pa kuishi ndipo banki hiyo imemnunulia nyumba na kumkabidhi wa pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa banki hiyo Sabetha Mwambenja
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Bank ya Covenate Balozi Salome sijaona akizindua nyumba ya Salome Mhando
ambaye Alitelekezwa na mume wake baada ya kujifungua watoto mapacha mfululizo hadi kufikia sita na kukosa mahapa pa kuishi na ndipo banki hiyo imemnunulia nyumba na kukabidhiwa .
SOURCE:MZUKAWAFUNGO

1 comment:

Anonymous said...

Ahsante sana mama sijaona, mama mwambenja kwa moyo wenu wa upendo kusaidiana nijambo jena na Mungu anapenda jambo hilo sana. Mungu awabariki ili muwasaidie na wengine