Advertisements

Wednesday, January 28, 2015

CLUB OLYMPIA YA SINZA YAWAKA MOTO JANA USIKU

Haikuweza kufahamika kwa haraka chanzo cha ajali hiyo ya moto.
Askari wa Zimamoto wakiendelea na jitihada za kumaliza kabisa moto huo...
Gari la zimamoto likiwa eneo la tukio hadi leo asubuhi.
Hali ya moshi iliendelea hadi asubuhi ya leo kama picha hizi zinavyoonekana.

No comments: