Naibu Waziri wa Elimu,Jenesta Mhagama akikagua chanzo cha kuzalisha Umeme cha Kikuletwa kilichopo wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro ambacho kimekabidhiwa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)kwaajili ya kukitumia kufundishia na kuzalisha umeme vijijini,kushoto ni Mkuu wa Chuo,Dk Richard Masika.
Naibu Waziri wa Elimu,Jenesta Mhagama akikagua moja ya Transfoma iliyokua ikitumika kabla ya Tanesco kuacha kukitumia kituo hicho miaka ya 1980.


No comments:
Post a Comment