ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 21, 2015

WAZIRI MAHENGE AENDELEA NA ZIARA MKOANI TANGA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (wa pili kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Tanga Bw. Fred Liundi (kushoto) pamoja na viongozi wa Mkoa wa Tanga wakielekea kupanda Boti kwenda kuangalia kisiwa cha Toten ambacho kiko hatarini kuzama.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (kulia), akikagua Kisiwa cha Toten kilichopo mkoani Tanga.

No comments: