Hii itakuwa ni Sherehe ya aina yake kufanyika katika Jiji la Wajanja Big Apple,Watu wote bila kujali Itikadi zao wanaalikwa kwani hii ni Birthday Bashhh na sio mkutano wa kisiasa,Njoo uburudike na watanzania wenzako kutoka states mbali mbali pamoja na Nje ya nchi,kutakuwepo na Burudani kutoka kwa wasanii maarufu kutoka Tanzania,Habari zaidi za Wasanii na Mgeni Rasmi kufuata.
Tuungane Tuiline Tanzania Yetu
UKUMBI WA
RICHI RICH PALACE KWA NJE
UKUMBI UNAVYOONEKANA KWA NDANI
TICKETS PRICE: ADVANCE $40 | DOOR $50
Inclusive of:
*3-Course Dinner
*Soft Drinks
*Elegant Settings
*Entertainment
*Cash - Bar Beer $3| Liqour $5 | Wine $5 | Patron $7
CALL: 347-663-0781 | 917-698-6943
2 comments:
I dont understand CCM inatusadia nini huku Ughaibuni?
wewe kama hakikusaidi kuna watu kinawasaidia sana, tena sana hiki chama,mfano wasio na makaratasi wanapata ajiri mjengoni,wanatolewa ndani jela,wanaletewa wake zao kutoka bongo wana pata ticket za bure kwenda majuu holiday vacation, kupewa pesa,yani wee acha tu ukijua connection utaona kinakusaidia mimi na wewe hatuna time na hichi chama na kuona cha nini huku ughaibuni ndo tunaona cha nini,wenzetu wanajua faida yao ndo maaana wanakisherehekea.
na wengi wao wazee wao wako na wamekulia katika hichi chama so unatarajia wasikishangiliye na kukikumbatia.why not?
mkono mtupu harambwiii wanacho wanachokipata.
tuwache tu wa enjoy na mambo yao na sisi na yetu yaliyotuleta huku au vipi.
magamba balaa usisikiye mpaka ughaibuni.
na kidumu chama kwa ajili yao.
Post a Comment