
Romario mwenye umri wa miaka 48 na mchumba wake ni miaka 19 inaonyesha kuwa Brazil walivyochuka ubigwa wa dunia mwaka 1994 mashindano yalifanyika Marekani. Na Romario kufunga magoli 5 kwenye mashinda hayo mrembo huyu alikuwa hajazaliwa piga hesabu mwenyewe na utajua wako tofauti miaka ngapi chezea mapenzi wewe jipange wanaume hawazeeke.

Mrembo anaitwa Dixie Pratt mwenye umri wa miaka 19 na Romario ni 48 miaka 29 zaidi ya mpenzi wake.

Bata batani pande za Aruba Romario na tunda lake changa bado linanukia utomvu kama embe changa.

4 comments:
hizi pande za Brazil Mwenyezi Mungu kawapendelea, kawaumba hawa wanawake kama malaika, kila unayemwangalia hana mfano wake. Vimwana kama hawa hata uwe mzee wa umri gani basi utajisikia kijana tu. Brazil kuna wanawake wazuri sana najua na sehemu nyengine wapo lakini mambo kuzidiana.
anakula Viagra kwa sana ndo maana anaweza kuwa na kimwana kama huyu thubutu ache kula Viagra atamsikia kwenye bomba demu kama huyu.na hapa hakuna mapenzi demu anatafuta pesa pesa anazi chop ile mbaya na kwenda mbele kwa mbele.
mungu hapendelii mtu kitu wala taifa Fulani futa kabisa hisia hizo.ukimuomba na wewe atakupa demu mzuri kama huyu na uombe pia awe na tabia nzuri muendeni si demu mzuri tabia chafu na hana mpango na wewe kijiegemeza kwako kisa money.
ukiwa na pesa hakuna kisichowezekana ukiondoa kifo tu
Post a Comment