Advertisements

Saturday, January 24, 2015

SIKILIZA ALICHOONGEA WAZIRI MUHONGO WAKATI AKITANGAZA KUJIUZULU

4 comments:

Anonymous said...

Profess Muongo Jini likujuwalo halikuli likakumaliza.

Anonymous said...

Mheshimiwa MUHONGO, huo ufanyaji kazi na waJerumani, Waingereza, Wachina, sio tija! usikatae kupokea hela hizo swala hili ulilijua fika hivyo usiudanganye umma! la msingi rudisha hiyo fedha! Chama chako sio lazima kiendelee kuwatumikia wananchi mmechangia kuhujumu walipa kodi miaka hadi miaka!! mko wengi sana rudisheni hiyo fedha!!

Anonymous said...

This Prof Muhongo is a great guy and was wonderful assert to our country. But Greed people scarified him for their own political benefits. I feel so bad for my country bad people survive and good people have no chance to serve that nation. I wish the greatest to prof Muhongo, but I am glad you're still living, other greatest like Dr. Mgimwa, Sokoine and Nyerere are no longer there, remember that is just a political accident, continue fighting for the poor. God bless you those people will experience their hell while still living in this world.

Anonymous said...

kujiuzuru si tija tija kufungwa kutiwa ndani na kuzirudisha pesa za umma,kama kweli mzalendo na unapenda nchi yako na walala hoi zirudishe pesa tutakuona wa maana sana.

USANI NA SERIKALI ZA UOZO YA CCM.

Wadanganyika wenzangu msidanganyike kwa punje ya mtamaa kuambiwa mtu kajiuzuru oooh kafana vizuri na blah blah na blah.

arudishe hizo pesa basi kama kajiuzuru.

haina tija escro mbona mmechukua hizo pesa zirudishe tutajua haina tija hiyo escrow,iptl epl ndo zin tija ziliibiwa pesa nyingi sana tunajua hilo sanaaaaaaaaaaaaa