ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 26, 2015

Sikiliza marudio ya kipindi cha MISHUMAA YA KALE (Jan 23, 2015) USIKOSE IJUMAA HII

Hiki ni kipindi cha Ijumaa, January 23, 2015
MISHUMAA YA KALE ni kipindi kinachokuwezesha "kuruka majoka" na "kula mangoma" kwa kusikiliza nyimbo ziliotamba miaka ya zamani, kupata historia ya wasanii na vikundi mbalimbali na pia kusikiliza mazungumzo na maDj na wasanii mbalimbali wa zamani.
Ungana na MixMaster Dj Luke Joe kwenye "one and two" na Mubelwa Bandio nyuma ya kipaza sauti kwenye kipindi kipya cha MISHUMAA YA KALE kinakachokujia kila Ijumaa kuanzia saa 11 kamili jioni mpaka saa 1 kamili usiku kwa majira ya Marekani ya Mashariki (5:00pm - 7:00pm EST)

1 comment:

Anonymous said...

Asante sana. Music safi sana .
T. Mayenu