Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza akipokea ua kutoka kwa mfanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Zubeda Ng'olongo kama ishara ya kumkaribisha ofisini hapo, leo Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza akisalimiana na Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu leo Jijini Dar es Salaam, wakati alipo wasili ofisini hapo ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza leo Jijini Dar es Salaam, wakati alipo wasili ofisini hapo ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.
Waziri wa Nchi Mpya wa Ofisi Rais (Uhusiano na Uratibu) Mhe. Dkt. Mary Nagu ambaye awali alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) akimkabidhi baadhi ya nyaraka Waziri wa Nchi Mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza , leo Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.
No comments:
Post a Comment