inna lillahi waina illahim rajiun.pole sana dully pole sana.unajaua mother wangu anamjua sana marehem father wako,alikuwa ananihadithia hivi sasa unajua babake dully mzee ebby nimecheza naye toka utotoni sehemu za gerezani kariakoo, na nimesoma naye shuleni na nilivyokwenda Nairobi zamani alinipokea kwake vizuri sana.
mother anakupa pole sana dully na itakuwa vizuri kama ukiacha number yako hapa kwenye hii blog tuku contact.
kesho sisi tunamsomea dua mzee wako mother kasema huku New York.
jambo mmoja dully na waislamu wenzangu itakuwa vizuri katika maziko yetu ya kiislamu tuache wasifu wa wazee na wafiwa wetu kuelezea historia yao kwa kifupi.
nipewa mimi historia ya mzee wako najua but kuna haja kwa wengine kuijua pia. tuwe na desturi ya kufanya hivi.
wazee wetu wa Gerezani,Mtaa wa lindi kariakoo ndo wanaondoa hivyoo.sisi kizazi chetu lazima tuijue historia ya wazee wetu wa gerezani.
mama mdogo wangu alikuja huku mazikoni katuwakilisha huko nyumbani.pole sana dully pole sana inna lillahi waina illahim rajiun.
Rip mzee wetu ebby sykes.nimepata masikitiko makubwa sana na mimi pia but ndo kazi ya Allah haina makosa.nimepata maskitiko kwa vile nimehadithia historia ya mzee wako dully.inna lillahi waina illahim rajiun.
pole sana dully.
salaam kutoka New York. tunaoba number yako dully ukipata message hii please.ahsante.
2 comments:
baba yake kama mwenyewe wanafanana mzee alikuwa rasta naona. pole sana dully masifa.chanzo cha kufaa mbona hatuambiwi.

lucas please ufikishe ujumbe please bro.
Post a Comment