ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 20, 2015

BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

 Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka akiwakilisha hati ya utambulisho kwa Gavana Mkuu wa Canada Mhe. David Johnson siku ya Jumatano Februari 18, 2015 mjini Ottawa.
 Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka akiwa katika picha ya pamoja na Gavana Mkuu wa Canada Mhe. David Johnson.
 Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka na mke wake Bi. Esther Zoka wakiwa katika picha ya pamoja na Gavana mkuu wa Canada Mhe. David Johnson.
  Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka na mke wake Bi. Esther Zoka na baadhi ya Watanzania waliohudhuria uwakilishi hati ya utambulisho wakiwa katika picha ya pamoja na Gavana mkuu wa Canada Mhe. David Johnson.

1 comment:

Anonymous said...

tumefurahi sana kupata barozi pya canada aliyemaliza nusu ya watanzania hata hawakumfahamu alikuwa mbali na wananchi wake hopeful huyu atakuwa kama mama mulamula duh yule aliyeondoka safi sana