ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 13, 2015

DUDE: AKILI YANGU MBOVU NDIYO MAANA SIOI

Staa wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba.
Stori: Imelda Mtema/Risasi
STAA wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba, amesema licha ya kuishi na mzazi mwenzie kwa zaidi ya miaka kumi, anashindwa kuoa kwa sababu akili yake siyo nzuri.
Akipiga stori mbili tatu na mwanahabari wetu, Dude alisema linapokuja suala la kulaumiwa kuchelewa kuoa, anastahili kwani hakuna kitu kinachomsababisha asioe zaidi ya akili yake kuwa mbovu.
“Mimi akili yangu tu bwana ndiyo mbovu, hakuna kitu cha ziada ninachoweza kujitetea, kama kuona ningeoa siku nyingi sana, nashindwa basi tu,” alisema Dude.
Source:GPL

2 comments:

Anonymous said...

Asante Dude, hayo usemayo sio tu akili yako mbovu ila nionavyo mimi ni kukwepa lawama!! yaani kuna wengine wanatamani kuingia huko na wengine tunatamani kutokaa!! sio mzaha ndoa sio kitu ya mchezo mimi mdau mwenzio nimelionja hilo ndani ya ndoa miaka 20 lakini inaenda mraamaa !! ni majanga tupu na watoto 3 tunao!! kaa hivyo mdau wangu!!nakupa tano !

Anonymous said...

akili yako itakuwa si nzuri kweli itakuwaje usiowe bwana hata kama kuna changamoto za ndoa na zakina mama oa bwana, ndoa tamu bwana;matokeo ya kutokuowa ndo hayoa mtu unapata stress za kijinga jinga na pia kuzaa njee na kumkosea mungu.