Advertisements

Friday, February 27, 2015

JITIRIRISHE NA HII KUTOKA KWA KIBA FOR REALLY KIROHO SAFI

Baada ya kutamba na wimbo wake wa “Mwana Dar Es Salaam” Msanii Mkali Wa Bongo Flaiva Alikiba Ameachia Wimbo Wake Mpya Leo Unaitwa "Chekecha Chekechua".

2 comments:

Anonymous said...

Love it. Salaamu toka Tennessee Ali Kiba. Huna mpinzani. Rythim zako ni unique. Diamond tupa kulee..You are the King. Big up brother.

Anonymous said...

Yani sauti yake ile ya mahaba huwa inanimaliza si mchezo mpaka mume wangu huwa akinisikia nasikilizaga nyimbo za kiba anakosa amani anajua nitaanza kumsifu wee mwisho wa maelezo.

hakuna star wa music wabongo yeyote anayenisisimu kwa sauti ya mahaba kama huyu kibaa mmmh.

nikiwa na kakisirani changu au naumwa basi nikizifungua nyimbo za kiba huwa natulia na narudi katika hali ya furaha. mmmh

kiba you are the best man.unanivutia kupiga maelezo kwa sauti yako.