Advertisements

Friday, February 27, 2015

RAIS KIKWETE AHIRIKI KUAGA MWILI WA MAMA MZAZI WA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshimazao za mwisho kwa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfarijiMkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea Msaki jijini Dar es salaam leo walipofika heshima zao za mwisho kwa mama yake mzazi Marehemu Esther Gigwa Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete pamoja na Makamuwa Rais Dkt Mohamed Ghariv Bilali, Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakiwa pamoja na wafiwa wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo.
Sehemu ya wafiwa na waombolezaji wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo.

PICHA NA IKULU

No comments: