Advertisements

Saturday, February 21, 2015

Kipindi cha Reggae Time cha PRIDE FM.....Jumamosi Feb 21, 2015

 Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Katika kipindi kilichomalizika leo, Februari 21, 2015 tumezungumzia kuhusu MAISHA.
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658

No comments: