ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 19, 2015

KUELEKEA UCHAGUZI 2015

Wanafunzi wa Chuo cha IFM jijini Dar es Salaam wametangaza azma yao ya kumuunga mkono Edward Lowassa iwapo ataamua kugombea nafasi ya Rais katika Uchaguzi Mkuu 2015.

Je wewe unadhani ni wakati sahihi kuonyesha utampigia kura nani ikiwa hujapata nafasi kuwasikiliza wagombea wana sera gani?

No comments: