ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 14, 2015

Le Mutuz Anatafuta Mke 'Kwa Kweli Nahitaji WIFE Baby U Know Nahitaji Bonge la Mke, Niombeeni '

William Malecela Aka Lemutuz Ametangaza kuhitaji Mke katika Page yake ya Instagram huku akiomba watu wamuombee apate Bonge la Wife. lemutuz alipost picha akionyesha kitanda kikiwa hakija tandikwa na kuandika maneno haya hapa chini kama caption ya picha hiyo:
"kwa kweli nahitaji WIFE baby U know nahitaji bonge la mke hahahah people niombeeni basi nipate Le Wife U know this is not good yaani mpaka aje mfanyakazi je ukitokea moto hapa watu wakaingia wanakuta bed iko kwenye this mess U know jamani niombeeni nipate Le Wife hahahahahahah U know......Off to the Airport!, A-Town here I come leo DOWNTOWN KARATU LIVE! - le Mutuz


7 comments:

Anonymous said...

Ulikuwa wapi mpaka umekua babu?na wanawake hawataki lemburulaz

Anonymous said...

Le wife waking wengi-peleka mama tu

Anonymous said...

Le wife!!!. Bien dire La wife. Le wife😁

Anonymous said...

kwanza unahitaji ujirekebishe mwenyewe umeshakuwa uache mambo ya kitoto toto yasio na tija wala kichwa wala miguu.

pili muombe mungu sana na sio kutaka watu wakuombee hapa mitandaoni.dua yako na mungu wako ndo itakayo kuwa na nguvu zaidi ya kuwaomba watu hapa.mungu anataka kuoa kilio chako si cha watu kukuombea.

tatu ushari tu kwanini usimrudiye uliyekuwa naye na kuzaa naye,nenda kampigiye magoti huenda akakusamehe. lakini unahitaji ubadilike uwe mume mwema.

nakutakia kila la kheir usikate tamaa utapata tu but muombe mungu akupe mke ampaye atakuoongoza mema na kumjua mungu wako na kumuabudu mungu wako sio eti wote muwe akili za chura kuruka ruka.

nina dada yangu zinga la baby but mlokole je unamtaka na utamuweza yeye hataki mchezo bwana bibilia mtu ukila ukiamka nayo hata uki doo ni bibilia kwenda mbele. ukimtaka ni mpeep kwenye mtandao huu.okay.

Anonymous said...

Huyu ni mwendawazimu,kwahiyo unaona mke ndio wakukutandikia kitanda???si utandike mwenyewe,hakuna mwanamke atakaeweza kuishi na wewe I GUARANTEE YOU

Anonymous said...

Je,yule mwanasheria ameishia wapi?Ulimtangaza sana.Au na yeye ametumka baada ya kuona hamna kitu.

Anonymous said...

Language, it is not really French. What is LE MUTUZ?
I do not know this guy, nor do I know what he does for life, however, I visit his blogs several times a week, and his comments, postings and his 'straight talk', I find him childish and very immature. I hope he will get a 'wife' however, anybody who visited his blog will understand what I am talking about. Good luck man