ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 13, 2015

MABONDIA MCHUMIATUMBO NA IDI BONGE WAPIMA UZITO KUPIGANA FEB 14 P.T.A SABASABA

Bondia Iddi Bonge kushoto akitunishiana misuli na Alphonce mchumiatumbo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Dar es salaam siku ya jumamosi 
Bondia Vicent Mbilinyi
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitunishiana masuli na Halidi Manjee baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Dar es salaam 
Bondia Iddi Bonge kushoto akitunishiana misuli na Alphonce mchumiatumbo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Dar es salaam siku ya jumamosi 
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitunishiana masuli na Halidi Manjee baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Dar es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA wa uzito wa juu wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa taifa mabondia hawo ni Iddi Bonge na Alphonce mchumiatumba ambao watapanda uringoni siku ya feb 14 katika ukumbi wa P.T.A sabasaba kwa ajili ya kumaliza ubishi
ambao umetanda mitaani ni nani bingwa wa uzito wa juu nchini ambapo kwa mda mrefu akuna bingwa wa uzito huo katika upimaji wa uziti zilizogubikwa na tambo mbalimbali za mashabiki waliojazana kushidia upimaji wa uzito

mpambano huo wa raundi kumi utakuwa ni wa aina yake kwa kuwa kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi ambapo bondia Iddi Mnyeke atapambana na Yonas Sego nae Alidi manjee atakabiliana na bondia chipkizi anaekuja kwa kasi katika ulimwengu wa masumbwi Vicent Mbilinyi wakati Shabani Kaoneka atamkabili Saidi Mbelwa, na Deo Samweli akipambana na Adam Ngange Juma fundi atakabiliana na Bakari Ostadhi na Amani Bariki 'Manny Chuga' atapambana na Mohamed Kashinde

Manyoka aliongeza kwa kusema kuwa siku hiyo kutakuwa na ulinzi wa kutosha ndani na nje ya ukumbi huo ambapo amesha wasiliana na walinzi mbalimbali

siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali

na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.

No comments: