ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 9, 2015

MAONESHO YA MIAKA 90 SKULI YA SEKONDARI YA BENBELLA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Benbella Kibibi Mohammed Mbarouk alipofika kufungua maonesho ya kutimia miaka 90 ya Skuli ya Sekondari ya Benbella leo katika viwanja vya Skuli hiyo mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipofika kufungua maonesho ya kutimia miaka yaSkuli ya Sekondari ya Benbella leo katika viwanja vya Skuli hiyo mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapnduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua maonesho ya maadhimisho ya kutimia miaka 90 ya Skuli ya sekondari ya Benbella leo Skulini hapo(kushoto) ni Dk.Yussuf Nuhu Pandu Mwenyekiti wa Maonesho na (kulia) Rais wa Wanafunzi wa Skuli ya Benbella Awatif Duchi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapnduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia maonesho ya maadhimisho ya kutimia miaka 90 ya Skuli ya sekondari ya Benbella leo Skulini hapo(kushoto) ni Dk.Yussuf Nuhu Pandu Mwenyekiti wa Maonesho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia mapishi mbali mbali wakati alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya kutimia miaka 90 Skuli ya Sekondari ya Benbella leo katika mabanda mbali mbali,[Picha na Ikulu.]

No comments: