ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 9, 2015

SHUKURANI ZA DHATI


Familia ya Mr. & Mrs. Mosha pamoja na familia ya Kente, wanapenda kutoa shukrani za dhati kwa ndugu,jamaa na marafiki wote kwa msaada wenu wa hali na mali na kwa maombi yenu, wakati wa kipindi hiki kigumu cha msiba na kuweza kujumuika nao kwenye Ibada ya mazishi ya Baba yao mpendwa mzee R.W.W. Kente. Mungu Baba awabariki sana kwa upendo wenu. Ahsanteni sana.

No comments: