Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Pierre Nkurunzinza wa
Burundi jijini Nairobi kabla ya kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano wa
kimataifa wa Jomo Kenyatta kuhudhuria mkutano wa 16 wa kawaida wa
wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20,
2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimwindikiza na Rais Pierre Nkurunzinza wa
Burundi walipokutana jijini Nairobi kabla ya kuelekea kwenye ukumbi wa
mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta kuhudhuria mkutano wa 16 wa
kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20,
2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakipigiwa wimbo wa taifa wa
Tanzania baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa mikutano wa
kimataifa wa Jomo Kenyatta kuhudhuria mkutano wa 16 wa kawaida wa
wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 2015. Kulia ni Naibu
Rais wa kenya Mhe. William Samoei
Ruto
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na wakuu wenzie wakisimama kwa wimbo wa mataifa
ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye ukumbi wa mikutano wa
kimataifa wa Jomo Kenyatta wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 16
wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20,
2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na wakuu wenzie wakiwa meza kuu kwenye
ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta wakati wa ufunguzi wa
mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki
February 20, 2015
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiongoza mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa
nchi za Afrika Mashariki February 20, 2015
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akipeana mikono na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya baada
ya kupokea kijiti cha kuongoza jumuiya hiyo wakati wa mkutano
wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20,
2015
Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Tanzania ambaye pia
ni mwenyekiti wa baraza la mawaziri wa Jumuiya hiyo Dkt Harrison
Mwakyembe akiwasilisha ripoti ya mwaka ya baraza hilo mkutano
wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20,
2015
Bango la wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika
Mashariki
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Waziri wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki wa Tanzania ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la mawaziri
wa Jumuiya baada ya kukabidhiwa ripoti ya mwaka ya baraza hilo
mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki
February 20, 2015
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akimuaga Rais Paul Kagame wa Rwanda aliyekwemnda
kumuomba udhuru ili kuondoka mapema kabla ya kumalizika kwa
mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki
February 20, 2015
Jaji
Geoffrey W. M. Kiryabwire akiongozwa kuelekea jukwaani kula kiapo kuwa
Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
wakati wa mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika
Mashariki February 20, 2015
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akimpongeza Jaji Audace Ngiye kutoka Burundi
baada ya kula kiapo kuwa Jaji wa Mahakama ya Jumuiya ya
Afrika Mashariki wakati wa mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi
za Afrika Mashariki February 20, 2015
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akimpongeza Mhe Liberag Mpfumukeko kutoka Burundi
baada ya kuteuliwa kuwa Nibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mshariki
wakati wa mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika
Mashariki February 20, 2015
Waziri wa Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa
Tanzania ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la mawaziri wa Jumuiya
hiyo Dkt Harrison Mwakyembe akishauriana jambo na KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Joyce
Mapunjo wakati wa mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa
nchi za Afrika Mashariki February 20, 2015
Wanafunzi washindi wa Insha wakisubiri kupokea tuzo zao katika
mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki
February 20, 2015
Rais
Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akipungia mkono wajumbe walioko
Kampala baada ya Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais
Jakaya Mrisho Kikwete kuzindua mfumo wa kisasa wa mawasiliano ya moja
kwa moja kwa njia ya video uitwao Telepresence katika mkutano wa
16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20,
2015
Ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa 16 wa kawaida wa
wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 2015, Kutoka kushoto ni
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Mhe Bernard Membe, WAZIRI wa nchi
ofisi ya rais anayeshughulikian utawala bora
Mhe. George Huruma Mkuchika,
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George
Mcheche Masaju, Waziri wa Fedha, Mhe, Saada
Mkuya Salum na Waziri wa Maliasili
na Utalii Mhe Lazaro Nyalandu
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akihutubia katika kilele cha mkutano wa 16 wa
kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20,
2015
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta wa kenya na
Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudan ya Kusini
baada ya mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika
Mashariki February 20, 2015
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta wa kenya, Rais Pierre
Nkurunzinza wa Burundi na Naibu Rais wa kenya Mhe. William Samoei Ruto baada ya
mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki
February 20, 2015. Picha zote na IKULU
No comments:
Post a Comment